Atanasi wa Yerusalemu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Atanasi wa Yerusalemu (alifariki Yerusalemu, Palestina, 452 hivi) alikuwa shemasi wa jimbo la huko.

Aliteswa vikali sana na mmonaki Theodosi, akafa kwa ajili ya imani sahihi ya Mtaguso wa Kalsedonia[1][2].

Heshima ya watu kwake kama mtakatifu mfiadini ilienea haraka sana.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.