Leobini
Mandhari

Leobini (kwa Kifaransa: Lutiti; Poitou, karne ya 5 - Chartres, 14 Machi 557[1]) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, katikati ya karne ya 6[2].
Baada ya kuchunga mifugo na kulima alijifunza kusoma akajiunga na monasteri, lakini wakati mwingine aliishi kama mkaapweke. Pia aliteswa na Wafaranki. Hatimaye akawa shemasi na abati kabla ya kufanywa askofu mwaka 544[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Watkins, Basil (2015). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. ISBN 978-0-567-66415-0. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (Kifaransa) Histoire générale, civile et religieuse de la cité des Carnutes et du pays Chartrain, Michel-Jean-François Ozeray, Chartres 1836
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/45330
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kifaransa) Saint Lubin
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
