Matrona wa Thesalonike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matronya
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Jina halisiMatrona Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa3. century Hariri
Mahali alipozaliwaThesalonike Hariri
Tarehe ya kifo300 Hariri
Mahali alipofarikiThesalonike Hariri
DiniWaorthodoksi Hariri
Canonization statusMtakatifu, saint Hariri
Feast day27 Machi Hariri
Wat. Matrona (kushoto) na Eulalia (kulia), mchoro wa karne ya 16 wa huko Barcelona.

Matrona wa Thesalonike (pia: Matronya, Matruna, Madrona) alikuwa mwanamke Mkristo wa Thesalonike (Ugiriki)[1] aliyefia dini yake[2][3] katika karne ya 3 au ya 4 baada ya kuteswa na tajiri wake, mwanamke Myahudi, aliyemkuta anamuomba Kristo kwa siri. Hatimaye alimkabidhi Yesu roho yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Machi[4], lakini pia 15 Machi, 27 Machi[5][6] au 20 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyr: Matrona of Thessalonica. Orthodox Church in America. Jalada kutoka ya awali juu ya 1 January 2008.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47030
  3. This holy woman was handmaiden to a Jewish woman, and she was a Christian even as her parents were Christians. And that Jewish woman her mistress hated [Christianity], and she wished to make her maid abandon the Christian Religion, and to bring her over to the Jewish Faith, which she would not embrace. For this reason she reviled Matronya and made her service heavy upon her. One day Matronya followed her mistress the Jewish lady until she brought her to the Jewish synagogue, and Matronya turned aside and went into the holy church. And when her mistress asked her, saying, “Why didst thou not come into my synagogue?” The holy Matronya answered and said unto her, “God is very remote from thy synagogue, and how would it be seemly for me to enter therein? But the place which is seemly for me to enter is the holy church, which our Lord Jesus Christ purchased with his precious blood.” When he mistress heard these words she was wroth with her and beat her severely, and shut her up in a dark place wherein she remained for four days without food and drink; then the Jewess had her brought out from her prison and beat her cruelly with many, many stripes, and once again she sent her back into the prison, where she died. And after her death her mistress took her body, and carried it up to the roof of her house, and according to what the men say who saw her, she cast it out, and it fell down by itself. Now the mistress of Matronya was afraid of the Government, and alarmed lest they should examine her about her murder. And the wrath of God fell upon that Jewish woman, and as she was coming down from the roof of her house, she fell down headlong, and died, and departed into fire forever. [1] Archived 16 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
  4. Martyrologium Romanum
  5. Great Synaxaristes: Ἡ Ὁσία Ματρώνα ἡ Ὁμολογήτρια ἡ ἐν Θεσσαλονίκῃ. 27 ΜΑΡΤΙΟΥ. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  6. (Kirusi) 27 марта (ст.ст.) 9 апреля 2013 (нов. ст.) Archived 17 Desemba 2019 at the Wayback Machine.. Русская Православная Церковь Отдел внешних церковных связей. (DECR).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.