Gaukeri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gaukeri (Meulan-sur-Seine, Ufaransa, 1060Aureil, Ufaransa, 1140) alikuwa padri aliyekwenda kuishi upwekeni na hatimaye alianzisha huko Aureil monasteri yenye jumuia mbili (ya kiume na ya kike) za aina ya Wakanoni, chini ya kanuni ya Augustino[1] akawa, hasa kwa waklero, kielelezo cha maisha ya kijumuia na cha juhudi za kitume.

Papa Selestini III alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Septemba 1194

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.[2][3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. ""Saints of the Canons Regular", Canons Regular of Saint Augustine". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-02. Iliwekwa mnamo 2022-10-28. 
  2. Martyrologium Romanum
  3. Saints at a Glance

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Jean Becquet, in G. Pelliccia e G, Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), vol. IV (1977), col. 1044.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.