Benedikta wa Roma
Mandhari
Benedikta wa Roma (alifariki Roma, Italia, 546 hivi[1]) alikuwa bikira Mkristo wa mji huo[2] ambaye alijiunga na Galla katika monasteri aliyoianzisha karibu na Basilika la Mt. Petro akawa kipenzi chake.
Alifariki siku 30 baada yake kama alivyoomba na kutabiriwa katika njozi.
Sifa zake zinajulikana kupitia kitabu cha Majadiliano cha Gregori Mkuu.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 6 Mei[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |