Njozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Njozi ni istilahi inayotumika katika ulimwengu wa kiroho ili kupata taarifa ya mambo yaliyopita, yaliyopo, na yale yajayo. Neno hilo hutumiwa haswa pale mtu anapokuwa amepumzisha akili na mwili pia. Upande wa dini huaminiwa kuwa Mungu hutumia njozi kuwasilisha ujumbe kwa mtu, kama habari juu ya kazi yake au tukio linalotukia.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njozi kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.