Magino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Barcelona.

Magino (pia: Magin, Magi; alifariki Gaià, Hispania, 306 hivi) kwa miaka 30 alikuwa mkaapweke katika pango la huko Tarragona, ambaye hatimaye alifia imani yake kwa kukatwa kichwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Agosti[1][2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum
  2. [1]
  3. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-13. Iliwekwa mnamo 2014-11-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.