Valdo wa Evreux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi lake.

Valdo wa Evreux (pia: Gaud; 400 hivi - 491 hivi) alikuwa askofu wa pili wa Evreux, leo nchini Ufaransa miaka 440-480, akijitahidi kufufua Ukristo katika eneo lake. Miaka yake ya mwisho aliishi kama mkaapweke msituni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 31 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Hippolyte Gancel, Les saints qui guérissent en Normandie, 2006
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.