Artelaide
Mandhari
Artelaide (pia: Arthelais; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 544 - Benevento, Italia, 560) alikuwa bikira ambaye anasemekana alihama nchi yake ili asiolewe na kaisari Justiniani I[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Machi[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint Arthelais of Benevento", CatholicSaints.Info, 2009-03-03. (en-US)
- ↑ Walsh, Michael. "Arthellais of Benevento", A New Dictionary of Saints, Liturgical Press, 2007, p. 66 ISBN|9780814631867
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saint Arthelais at Catholic Online
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |