Justiniani I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Justiniani I" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Justiniani I (takriban 482 - 14 Novemba, 565) alikuwa kaisari ya Dola la Bisanti kuanzia mwaka wa 527 hadi kifo chake. Huangaliwa kama mtakatifu na Wakristo Waorthodoksi. Mke wake na malkia wa Kibisanti aliitwa Theodora; aliaga dunia mwaka wa 548. Hawakuwa na watoto walioishi. Justiniani I alifuatwa kama kaisari na mpwa wake Justin II.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justiniani I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.