Agathius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kifodini cha Mt. Agathius kilivyochorwa katika karne ya 16 huko Toledo, Hispania.

Agathius au Akasio au Agathonas (kwa Kigiriki: Ακακιος; alifariki mwaka 303), alikuwa akida wa jeshi la Dola la Roma aliyeuawa mjini Bizanti (leo Istanbul, nchini Uturuki) kwa sababu ya imani yake ya Kikristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[1] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ὁ Ἅγιος Ἀκάκιος ὁ Μάρτυρας ὁ κεντυρίων. 7 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agathius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.