Bernardo Tolomei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanateolojia, Bernardo Tolomei

Bernardo Tolomei, O.S.B. (10 Mei 127220 Agosti 1348) alikuwa padri mmonaki wa Italia maarufu kama mwanateolojia na mwanzilishi wa urekebisho wa Wabenedikto wa Monte Oliveto.

Papa Inosenti X alimtangaza mwenyeheri tarehe 24 Novemba 1644, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1] au jana yake.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum, Vatican City, 2001.
  2. Calendar of Feasts of the Benedictine Confederation Archived 16 Aprili 2009 at the Wayback Machine. Accessed Feb. 22, 2009
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.