Anastasi wa Brescia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anastasi wa Brescia (alifariki Brescia, Lombardia, Italia 608 BK) anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 604 hivi hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Mei.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/54180
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.