Nenda kwa yaliyomo

Karteri na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa kifodini chao.

Karteri na wenzake Stiriaki, Tobia, Eudosi, Agapi na wengineo (walifariki Sebaste katika Armenia Ndogo, leo Sivas, Uturuki, 315/320) walikuwa askari Wakristo walioteswa kwa imani yao katika dhuluma ya kaisari Lisini na hatimaye walichomwa moto ref name="cath">"St. Carterius". Catholic Online. 2010. Iliwekwa mnamo Januari 22, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref> [1].

Ndiyo sababu wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.