Eparki wa Angouleme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pango lake huko Angoulême.

Eparki wa Angouleme (kwa Kifaransa: Cybard, Ybars au Éparche; Angouleme, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 504 - 581) alikuwa padri ambaye aliishi miaka 39 kwa toba kali akiwa amejifungia upwekeni[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Julai[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/60080
  2. Gervers (1967), 14, note 28: locus remotus et civitas procul et desuper latere montis fons aquae fluens manaret, et Carantonis fluvius ab alio excluderet latere.
  3. His story is told in Gregory of Tours Historia Francorum (VI, 8).
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Saint-Roche, P. (1985). "A propos du sanctoral du sacramentaire d'Angoulême." Rivista di archeologia cristiana 61 (1–2): 113–18.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.