Urbani, Theodori na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Urbani, Theodori na wenzao 78, akiwemo Menedemo, (walifariki Nikomedia, leo Izmit, nchini Uturuki, 370 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma, wakleri kwa walei, waliofia imani sahihi wakati wa kaisari Valens aliyefuata Uario[1]. Walipandishwa juu ya boti ambalo lilichomwa moto kayi ya bahari.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 5 Septemba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/69230
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.