Osmundi wa Salisbury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya rangi ya Mt. Osmundi.

Osmundi wa Salisbury (Seez, Normandy, leo nchini Ufaransa - Salisbury, leo nchini Uingereza, 3 Desemba au 4 Desemba 1099) alikuwa askofu wa 2 wa Salisbury[1] pamoja na kuwa chansela wa ufalme (1070-1078 hivi)[2][3].

Papa Kalisti III alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 1 Januari 1457.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Stroud, Daphne (Autumn 1983). "St Osmund — Some Contemporary Evidence". The Hatcher Review 2 (16): 243–250.  Check date values in: |date= (help)
  • Greenway, Diana E. (1999). Saint Osmund: Bishop Of Salisbury 1078–1099, And Founder Of The Cathedral At Old Sarum. RJL Smith & Associates. ISBN 978-1872665238. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.