Ita wa Cluain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ita katika dirisha la kioo cha rangi huko Ballylooby.

Ita wa Cluain (pia: Ida, Ides; jina la awali: Deirdre, yaani Dorothea; 480 hivi - 571) alikuwa Mkristo bikira aliyeshika maisha ya umonaki akawa abesi mwanzilishi wa monasteri ya Clúain Credal huko Ireland[1].

Ndiye aliyemlea Brendan maarufu kama mtakatifu na baharia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.