Litori wa Tours

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Litori wa Tours (alifariki Tours, leo nchini Ufaransa, 13 Septemba 371 BK) alikuwa askofu wa pili wa mji huo alipokuta Wakristo lakini ndiye wa kwanza kujenga kanisa ndani yake [1].

Gregori wa Tours aliandika kwamba baada ya Grasyano askofu wa pili aliitwa Litori na kudumu miaka 33, mpaka alipofika Martino wa Tours mwaka 371 [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Louis-Sébastien Le Nain de Tillemont, Mémoires pour servir à l’histoire ecclésiastique des six premiers siècles justifiés par les citations des auteurs originaux, ed. Charmes Robustel, Paris 1705
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.