Nenda kwa yaliyomo

Aristoni wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aristoni wa Roma (alifariki Fiumicino, karibu na Roma, Italia, karne ya 4 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 13 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.