Feruchi wa Mainz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Feruchi na matukio ya maisha yake.
Kanisa la Mt. Feruchi, Bleidenstadt.

Feruchi wa Mainz (kwa Kilatini: Ferrutius au Ferruccius; alifariki Kastel, leo nchini Ujerumani, 300 hivi) alikuwa askari wa Dola la Roma huko Mainz. Baada ya kuongokea Ukristo aliacha jeshi. Kwa ajili hiyo alikamatwa na kufungwa bila chakula hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kiitalia) Niccolò Del Re: San Ferruccio di Magonza Martire. In: Martiri e santi del calendario romano. 2002

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.