Sulpisi Pius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yenye masalia yake.

Sulpisi Pius (alifariki Bourges, leo nchini Ufaransa, 17 Januari 647) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 624, ambaye alikamilisha kazi ya kuinjilisha wakazi wa jimbo lake kwa kuwavuta Wayahudi na Wapagani wa mwisho katika Ukristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.