Eusebi, Nestabo na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eusebi, Nestabo na wenzao Nebo na Nestori (walifariki Gaza, Palestina, 362) walikuwa ndugu Wakristo wa Dola la Roma waliofia imani yao kwa kukatwakatwa vipandevipande wakati wa kaisari Juliani Mwasi[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/71240
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.