Anfiloki wa Ikonio
Mandhari
Anfiloki wa Ikonio (alizaliwa Kapadokia, leo nchini Uturuki, 340 hivi - Konya, Likaonia 403 hivi) alikuwa mmonaki, askofu wa Konya kuanzia mwaka 374 na mwanateolojia maarufu, ndugu wa Gregori wa Nazianzo na rafiki wa Basili Mkuu [1].
Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na mmojawapo kati ya mababu wa Kanisa.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 23 Novemba[2].
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]Maandishi yake mengi yamepotea. Zimebaki hotuba 8, barua kwa Sinodi ya Ikonio[3] na labda zaidi kidogo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/93189
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
- ↑ Goldhorn, S. Basil., Opp. Sel. Dogm., 630-635.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- G. Ficker, Amphilochiana, I. Teil (Leipzig, 1906).
- C. Datema, Amphilochii Iconiensis Opera, Turnhout, Brepols 1978 (Corpus Christianorum, Series Graeca, 3).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- K. Holl, Amphilochius von Ikonium in seinem Verhältnis zu den grossen Kappadoziern (Tübingen, 1904).
- C. Bonis, ‘The heresies combatted in Amphilochios’ “Regarding False Asceticism”’, Greek Orthodox Theological Review, 9,1 (1963), 79–96.
- E. Rossin, ‘Anfilochio di Iconio e il canone biblico “Contra Haereticos”’, Studia Patavina 43,2 (1996), 131–157.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |