Mainchin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mainchin (kwa Kieire: Mainchín mac Setnai; alifariki Limerick, Ireland, mwishoni mwa karne ya 6 au mwanzoni mwa karne ya 7) anasemekana kuwa askofu wa mji huo. Jina lake linamaanisha "Mmonaki mdogo"; aliitwa pia "Mwenye hekima"[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Betha Meich Creiche (Life of Mac Creiche), ed. and tr. Charles Plummer (1925). Miscellanea Hagiographica Hibernica. Brussels: Société des Bollandistes. 
  • Mac Eoin, Gearóid (2001). "Original name of the Viking settlement at Limerick". In Séamas Ó Catháin. Northern lights, following folklore in north-western Europe: essays in honour of Bo Almqvist. Dublin: UCD Press. pp. 165–77.
  • Ó Riain, Pádraig (1985). Corpus Genealogiarum Sanctorum Hiberniae. Dublin: DIAS. ku. 34 and 106. 
  • Poppe, Erich (1999). "Cormac's metrical testament: 'Mithig techt tar mothimna'". Celtica 23: 300–311. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-09. Iliwekwa mnamo 2022-05-13. 
  • Spellissy, Seán, The History of Limerick City. 1998.
  • Archdioceses and dioceses of Ireland 2000. Veritas. 2000.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.