Kieire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Kieire (kwa lugha hiyo: Ghaeilge) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.

Ni lugha mama ya watu 141,000 hivi, lakini wanaoijua kama lugha ya pili ni 1,865,000 hivi, hasa katika kisiwa cha Ireland hasa kwa sababu ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya kwanza ya Eire. Kwa sababu hiyohiyo ni pia lugha rasmi mojawapo ya Umoja wa Ulaya.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.