Kibretoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Kibretoni (kwa lugha hiyo: Brezhoneg) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya ambalo limerudi nyuma sana tangu zamani za Roma ya Kale lilipokuwa linatumika katika eneo kubwa sana la Ulaya hadi Uturuki wa leo.

Kibretoni pia ni hai bado, lakini katika hatari ya kutoweka.

Wanaoijua ni watu 226,000 hivi, hasa katika rasi ya Bretagne, kaskazini magharibi wa Ufaransa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikipedia
Wikipedia
Kibretoni ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Kamusu[hariri | hariri chanzo]

Kujifunza[hariri | hariri chanzo]

Biblia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibretoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.