Kikornishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Kikornish (kwa lugha hiyo: Kernowek) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kilikuwa kimekufa, lakini kwa sasa wanaoijua ni 1,000 hivi, hasa katika Cornwall (Uingereza).

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikornishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.