Nonoso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nonoso (alifariki mlima Soratte, Lazio, 570 hivi) alikuwa abati nchini Italia[1].

Habari zake ziliandikwa na Papa Gregori I.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 2 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Alban Butler, David Hugh Farmer, Paul Burns, Butler's Lives of the Saints (Liturgical Press, 1995), 10.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nonoso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.