Nenda kwa yaliyomo

Severo wa Ravenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Severo katika mozaiki huko Ravenna.

Severo wa Ravenna (Ravenna, Emilia-Romagna, Italia, karne ya 3 - Ravenna, 1 Februari 344) alikuwa askofu wa 12 wa mji huo wa Italia Kaskazini[1] kuanzia mwaka 308 hadi kifo chake.

Alishiriki Mtaguso wa Sardica (343/344) [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/39350
  2. "St. Severus of Ravenna".
  3. Martyrologium Romanum
vikuu
  • Sermo de Sancto Severo auctore Petro Damiani;
  • Anonimo, Vita sancti Severi episcopi Ravennatis (Biblioteca Hagiographica Latina ms. 7680), (collocazione).
vingine

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.