Gwido wa Anderlecht

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Gwido katika mchoro mdogo, 1484-1529.

Gwido wa Anderlecht (pia: Guidon, Guy, Wye; Anderlecht, Ubelgiji, 950 hivi - 1012 hivi) alikuwa mkulima mkarimu ambaye baadaye aliishi bila makao maalumu, akienda hija sehemu mbalimbali, hadi Nchi Takatifu alikokaa miaka kadhaa[1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.