Yasinto wa Amasra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yasinto wa Amasra (alifariki Amasra, leo nchini Uturuki, karne ya 3) alikuwa mzee aliyefia dini katika dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Julai[2] au 18 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.