Yohakim Royo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Yohakim Royo, O.P. (Hinojosa de Jarque, Septemba 1691Fuzhou, 28 Oktoba 1748) alikuwa padri kutoka Hispania aliyefanya umisionari barani Asia akauawa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.[1]

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint Francis Ferdinand de Capillas. Patron Saints Index. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
  2. Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648) (Norwegian). katolsk.no. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.