Fransisko Serrano
Mandhari
Fransisko Serrano, O.P. (Hueneja, 4 Desemba 1695 – Fuzhou, 25 Oktoba 1748) alikuwa askofu mteule kutoka Hispania aliyefanya umisionari barani Asia akauawa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo pamoja na mapadri Wadominiko wenzake Yohakim Royo, Yohane Alcober na Fransisko Diaz.[1][2]
Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[3]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Wafiadini wa China
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint Francis Ferdinand de Capillas". Patron Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92173
- ↑ "Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648)" (kwa Norwegian). katolsk.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |