1695
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 16 |
Karne ya 17
| Karne ya 18
| ►
◄ |
Miaka ya 1660 |
Miaka ya 1670 |
Miaka ya 1680 |
Miaka ya 1690
| Miaka ya 1700
| Miaka ya 1710
| Miaka ya 1720
| ►
◄◄ |
◄ |
1691 |
1692 |
1693 |
1694 |
1695
| 1696
| 1697
| 1698
| 1699
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1695 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Kuanzishwa kwa Ufalme wa Ashanti. Kufuatana na mapokeo ya Waashanti mfalme wa Kumasi (au:Kumasihene) Osei Kofi Tutu I alipokea "kikalio cha dhahabu" kama alama ya kuteuliwa na mbinguni lakini hali halisi kiti kilitengenezwa na kuhani Okomfo Anokye.
- 27 Januari: Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Dola la Uturuki badala ya Ahmad II aliyefariki
- 17 Julai: Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti
- 31 Desemba: Kodi ya madirisha inazishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofari ili kuepukana na kodi hiyo.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 8 Julai - Christiaan Huygens, mwanasayansi kutoka Uholanzi
