Kumasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kumasi mjini

Kumasi ni mji mkubwa wa pili nchini Ghana na mji mkuu wa Mkoa wa Ashanti. Tangu mwaka 1695 ilikuwa mji mkuu wa Ufalme wa Ashanti na Asantehene (mfalme wa Ashanti) anakalia hadi leo jumba lake mjini. Ndipo kilipo "kikalio cha dhahabu" cha Asantehene ambacho kinaaminiwa kimeteremshwa kutoka mbinguni.

Mwaka 2005 mji ulikuwa na wakazi 862.000. Umbali kutoka Accra ni 250 km. Kuna Chuo Kikuu cha Kwame Nkrumah cha Sayansi na Teknolojia.

Katibu Mkuu wa UM Kofi Annan amezaliwa Kumasi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kumasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.