Sekondi-Takoradi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumba huko Sekondi-Takoradi

Sekondi-Takoradi ni mji wa Jamhuri ya Ghana. Ndiyo makao makuu ni Mkoa wa Magharibi.

Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 539,548[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. World Gazetteer online. World-gazetteer.com.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sekondi-Takoradi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.