Mkoa wa Magharibi, Ghana
Mandhari
Mkoa wa Magharibi, Ghana ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.
Eneo lake ni la kilomita za mraba 13,847.
Makao makuu ni Sekondi-Takoradi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi, Ghana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |