Nenda kwa yaliyomo

Tema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Tema katika mkoa wa Accra, Ghana
Bandari ya Tema
Bandari ya Tema

Tema ni mji wa bandari na viwanda nchini Ghana karibu na mji mkuu wa Accra kwenye mwambao wa Bahari ya Atlantiki.

Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 539,548[1]

Hadi mwaka 1961 Tema ilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi. Tangu mwaka huo bandari kubwa ya Ghana ilijengwa Tema pamoja na viwanda vingi. Imekuwa kitovu cha viwanda nchini. Kuna mawasiliano kwa reli na barabara kuu kati ya Tema na Accra.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "World Gazetteer online". World-gazetteer.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-11.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.