Nenda kwa yaliyomo

Paulo wa Trois-Chateaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paulo wa Trois-Chateaux (alifariki 412 hivi) alikuwa askofu wa Trois-Chateaux (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 372[1].

Hadi leo kwa heshima yake mji huo mdogo unaitwa St. Paul Trois-Chateaux.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.