Aleksi wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Aleksi.

Aleksi wa Roma (Roma, Italia, karne ya 4 - Roma, 17 Julai 412) alikuwa mtu wa ukoo tajiri wa jiji hilo aliyejifanya ombaomba huko na huko kwa ajili ya Kristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Julai[2] au 17 Machi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G., "A Biographical Dictionary of the Saints", St. Louis, Missouri: B. Herder Book Co., 1924.
  • Anton Giulio Brignole Sale, La vita di Sant'Alessio descritta ed arricchita con divoti episodi (1648)
  • (Kijerumani) Ernest Robert Curtius, Zur Interpretation des Alexiusliedes, Zeitschrift für romanische Philologie, 56 (1937), pp. 85-93.
  • (Kifaransa) Jean-Pierre Bordier, La maison d'Alexis, Et c'est la fin pour quoy sommes ensemble, Homage à Jean Dufournet, Paris 1993, pp. 243-256.
  • Massimo Moretti, Sant'Alessio splendore della famiglia Savella: la leggenda del nobile e buon pellegrino in dodici pitture (Roma: École française de Rome, 2012), MEFRIM: Mélanges de l'École française de Rome: Italie et mediterranée, 124, 2, 2012.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.