Alois Versiglia
Mandhari
Alois Versiglia, S.D.B. (Oliva Gessi, Italia, 5 Juni 1873 - Litouzui, China, 25 Februari 1930) alikuwa askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka shirika la Wasalesiani aliyeuawa kwa kuchunga waumini wa Yesu nchini China.
Anaheshimiwa na Kanisa hilo kama mtakatifu mfiadini tangu tarehe 1 Oktoba 2000, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II pamoja na wenzake 119 maarufu kama wafiadini wa China.
Kabla ya hapo alitangazwa naye kuwa mwenye heri tarehe 15 Mei 1983.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wafiadini wa China
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |