Nenda kwa yaliyomo

Wasalesiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka S.D.B.)

Wasalesiani wa Don Bosko (jina rasmi: Society of St. Francis de Sales) ni shirika la watawa wanaume lililoanzishwa na John Bosco ndani ya Kanisa Katoliki la Kilatini katika karne ya 19 kwa lengo la kulea vijana fukara [1].

Mwaka 2024 walikuwa 13,750 duniani kote.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The Salesian Society". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. Iliwekwa mnamo 2015-01-16.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasalesiani kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.