Kentigerno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kentigerno.

Kentigerno (pia: Cyndeyrn, Mungo, Cantigernus na Kentigern Garthwys; Fife, 518Glasgow, 13 Januari 614) alikuwa askofu mmisionari na abati huko Glasgow, Uskoti, ambaye inasemekana alianzisha jumuia kubwa ya kimonaki kwa kufuata mfano wa Kanisa mama la Yerusalemu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

 • The Magnificent Gael [Reginald B. Hale] 1976, World Media Productions* Baring-Gould, Sabine & Fisher, John (1907: 2000) Lives of the British Saints. 8 vols. Felinfach: Llanerch (Facsim. reprint in 8 parts of the 4 vol. ed. published: London: Honourable Society of Cymmrodorion, 1907–1913.)
 • Chrétien de Troyes; Burton Raffel, ed. (1987) Yvain, the Knight of the Lion. New Haven: Yale University Press.
 • Davies, John Reuben, "Bishop Kentigern among the Britons," in Boardman, Steve, John Reuben Davies, Eila Williamson (eds), Saints' Cults in the Celtic World (Woodbridge, Boydell Press, 2009) (Studies in Celtic History),
 • Delaney, John J. (1983) Pocket Dictionary of Saints. Image Books.
 • Lowe, Chris (1999) Angels, Fools and Tyrants. Edinburgh: Canongate Books & Historic Scotland
 • Rees, Elizabeth (2000) Celtic Saints: passionate wanderers. London: Thames & Hudson
 • "St. Kentigern". "The Catholic Encyclopedia". New Advent.
 • Tranter, Nigel (1993) Druid Sacrifice. London: Hodder & Stoughton (historical novel)
 • Wade-Evans, A. W. (1934) Welsh Christian Origins. Oxford: Alden Press
 • McArthur Irvin, Lindsay, "Building a British Identity: Jocelin of Furness's Use of Sources in Vita Kentigerni," in Identity and Alterity in Hagiography and the Cult ofSaints, eds. Ana Marinkovic and Trpimir Vedris (Zagreb: Hagiotheca, 2010), 103–117
  • "Identity and Alterity in Hagiography and the Cult of Saints". Centreleonardboyle.com. 19 Desemba 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 14 Novemba 2012. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.