Severino wa Koln
Mandhari

Severino wa Koln (Worms, 320 hivi; Cologne, 403) alikuwa Askofu wa tatu wa Cologne, aliyepinga sana uzushi wa Ario.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu kwa jinsi alivyostahili sifa katika maadili yote [1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kijerumani) The wooden shrine of Saint Severin Ilihifadhiwa 12 Machi 2023 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
