Nenda kwa yaliyomo

Eustrasi na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eustrasi na wenzake Ausensi, Eugeni, Mardari na Oreste (walifariki Armenia, 300 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao[1][2].

Ndiyo sababu wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Desemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-20. Iliwekwa mnamo 2020-12-11.
  2. http://www.enrosadira.it/santi/e/eustrazioecompagni.htm
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.