Parteni na Kalogeri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Parteni na Kalogeri (walifariki Roma, Italia, 304) ni kati ya Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian dhidi yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Mei[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.