Aureus wa Mainz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Aureus wa Mainz alikuwa askofu wa Mainz, Ujerumani katika karne ya 5 (wa kwanza kujulikana).

Alidhulumiwa kwa kutetea imani sahihi ya Kanisa Katoliki dhidi ya Waario.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kijerumani) Hans Werner Nopper: Die vorbonifatianischen Mainzer Bischöfe, Books on Demand, Norderstedt 2001.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aureus wa Mainz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.