Teresa wa Yesu Jornet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Valencia.

Teresa wa Yesu Jornet (Aitona, Lerida, 9 Januari 1843 - Liria, Valencia, 26 Agosti 1897) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Dada Wadogo wa Wazee Waliotelekezwa.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Aprili 1958, halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 27 Januari 1974.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.