Margerita wa Youville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Marguerite d'Youville alivyochorwa na James Duncan.

Margerita wa Youville (kwa Kifaransa Marie-Marguerite Dufrost de Lajemmerais d'Youville; Varennes, Quebec, 15 Oktoba 1701Montreal, Quebec, 23 Desemba 1771) alikuwa mwanamke Mkristo wa Kanada ambaye, baada ya kufiwa mumewe, alianzisha shirika la kitawa la Masista wa Upendo wa Montreal.

Papa Yohane XXIII alimtangaza mwenye heri mwaka 1959, na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe 9 Desemba 1990, akiwa wa kwanza mzaliwa wa Kanada[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margerita wa Youville kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.